Notification texts go here. Buy Now!
ุงู„ู…ุดุงุฑูƒุงุช

JINSI YA KUPATA 1GB NA SHILINGI 1000 BUREEE KWA TIGOPESA APP FANYA HIVI LEO

    


 Jinsi ya kupata 1GB na shilingi 500 Kwa tigopesa app fanya hivi. 


Usikae kinyongeee kama ndo kwanza๐Ÿซต๐Ÿซต๐Ÿซต unaskia ofa hii basi cha kufanya pakua app ya tigo ujipatie GB 1 uperuzi internet na ujipatie TSh 500 kwa kufata maelekezo haya. 


                    HATUA ZA KUFUATA

1 Download app ya TIGO PESA kisha ifungue na utafute sehemu iliyoandikwa 


2 Kisha utaona pameandikwa invite & earn kisha


3.Kisha bofya apo kwenye REDEEM utapakuta ni pakijani then utajaza kama hivi hapa chini

             ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡    


        Baada ya hapo utakua umepata  1GB Bure kabisa

       Kisha utaona sehemu imeandikwa kama “Start Earning   ”.  Uta click hapo utapewa     CODE yako ambayo utakuwa unawashawishi  watu kutumia App ya  TIGO PESA App lkn pia waweke Reedem Code yako wakiweka hiyo code yako wewe ndo unapata hizo 500Tsh kama hivi ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


    Kila mtu atakapo weka Reedem Code yako.


   Sasa hii issue ni kuifanya Ushirikiano  ili sote tupate zaidi mfano kama ukiweka Code ya mwenzako na yeye akajaza yako nyotee mnapata so usiwe na roho mbaya .

Kauli mbiu ya huu mchongo ni “#Jaza Nijaze"

Mpaka hapo Sina la ziada ila usikose kujoin group letu Whatsapp HOUSE OF TECHNOLOGY     na 

Subscribe to TECH HOUSE tv

About the Author

In my third year in my bachelor degree in...... I decided to introduce this to refresh my mind and to teach you on these issue as mentioned below า“ส€แด‡แด‡ ษชษดแด›แด‡ส€ษดแด‡แด› แด›ส€ษชแด„แด‹s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… แด›ส€ษชแด„แด‹ แด›แด‡แด„สœ แดœแด˜แด…แด€แด›แด‡s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… สœแด€แด„แด‹s แดแดแด… sแดา“แด›แดกแด€ส€แด‡ Subscribe htt…

ุฅุฑุณุงู„ ุชุนู„ูŠู‚

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.