Notification texts go here. Buy Now!
ุงู„ู…ุดุงุฑูƒุงุช

UNAFAHAM NINI KUHUSU WHATSAPP BOT✔️

WhatsApp bots๐Ÿค–๐Ÿค– 


           Ni programu au mifumo ya AI iliyoundwa kufanya mawasiliano au interejesia na watumiaji kwa kutumia jukwaa la WhatsApp. Bots hizi zinasaidia kufanya mawasiliano na huduma mbalimbali bila uwepo wa binadamu. Kuna aina mbalimbali za WhatsApp bots, zikiwa ni pamoja na: 

1. Customer Service Bots: Hizi ni bots zinazotumika kusaidia wateja katika maswali yao, kutoa msaada au kutatua matatizo yanayohusiana na bidhaa au huduma fulani,Hizi ndo bot kama ile ya Tigo pesa au ile ya TANESCO nk.

2. Notification Bots: Bots hizi zinatumika kutuma taarifa au ilani kwa watumiaji kuhusu mambo muhimu kama vile uthibitisho wa manunuzi au matukio maalum,Hizi ndo kama ile ya Whatsapp nk.

3. Personal Assistant Bots: Hizi ni bots zinazowasaidia watumiaji katika shughuli za kibinafsi kama group management nk na mifano yake ni kama Suhail,Vernocyber, FLASH nk na zile zote unazifaham. 

4. Informational Bots: Bots hizi zinasaidia kutoa taarifa muhimu au majibu kwa maswali yanayoulizwa mara kwa mara na watumiaji mfan wake ni Meta AI. Bots kutumika katika muktadha mbalimbali kama biashara, elimu au huduma za umma.
Kaa nami tuendelee mpka mwisho. Subscribe to TECH HOUSE tv


Unahitaji kufahamu namna ya kudeploy Bot za Whatsapp 

About the Author

In my third year in my bachelor degree in...... I decided to introduce this to refresh my mind and to teach you on these issue as mentioned below า“ส€แด‡แด‡ ษชษดแด›แด‡ส€ษดแด‡แด› แด›ส€ษชแด„แด‹s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… แด›ส€ษชแด„แด‹ แด›แด‡แด„สœ แดœแด˜แด…แด€แด›แด‡s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… สœแด€แด„แด‹s แดแดแด… sแดา“แด›แดกแด€ส€แด‡ Subscribe htt…

ุฅุฑุณุงู„ ุชุนู„ูŠู‚

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.