Kwa wageni tunawataarifu kuwa Mafunzo ya ICT yaani Tehama yanapatikana kwenye darasa letu
Mafunzo ya Msingi yanatolewa bure hata hivyo unaweza kulipia kupata mwalimu moja kwa moja wa kukufundisha ili kurahisisha kufikia malengo yako kwa muda muafaka.
Kama ukihitaji mwalimu unawwza ku comment hapa chini nitatoa maelekezo yote.
Mafunzo yetu yatakuwezesha:-
1. kutengeneza Blog
2. Kutengeneza Website
3. Kutengeneza web App
4. Kutengeneza App za simu
5. Kutengeneza App za kompyuta (desktop App)
6. kutuia na kudhibiti database.
7. Na mengineyo
Mafunzo yet yanatolew akwa lugha ya kiswahili.
website: https://yunohclassictz.blogspot.com
Email:YunohClassictz@gmail.com
All links heylink.me/YunohClassictz
Tunapatika pande zote za mitandao ya kijamiii kama unavyoona hapa