Notification texts go here. Buy Now!
Posts

Mafunzo ya programming

Sliding Bolded Word

✩░▒▓▆▅▃▂▁๐Œ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ฒ๐š ๐ฉ๐ซ๐จ๐ ๐ซ๐š๐ฆ๐ฆ๐ข๐ง๐  ▁▂▃▅▆▓▒░✩

**Introduction to programming: ep O1:**


Nakukaribisha kwenye series Mpya ya mafunzo ya Tehama. Series hii itakwend akukupa hamasa kutoka katika uhaliasia kuhusu tehama.


Kutokuwa na kompyuta kuzikatishe ndoto zako kujifunza mambo ynayohusu Tehama.


Kama una simu janja inakuwezesha vyema tu kujifunza na kuitumia kwa ajili ya coding na production. Wapo watu nawafahamu humu kwenye grup wameanzia na simu kujifunza na kufanya project zao.


Kama unataka kujifunza coding zipo app za simu na za komoyuta. Kama unataka kujifunza kutengeneza Android App zipo app unaweza kutumia na sipo website pia.


So kila unachohitaji kukifanya kwenye tehama kwa namna mja ama nyingine kuna altenative yake kwa wasiokuwa na komopyuta. Hata linux kw autumia termux unaweza kufanya kazi.


**Mwisho: **


Tukutane somo lnalofuata tutakwenda kujifunza nukuu nyinginezo zinazohusu tehama.


**Tangazo:**

 Fahamtumekuandalia mafunzo ya tehama kwa watumiaji wa simu na kompyuta. Download App yetu (***Golden Tech Tips***)  ama tembelea website yetu yunohclassictz.blogspot.com .


**Contacts:**

WhatsApp: 0692725279 


✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ 

About the Author

In my third year in my bachelor degree in...... I decided to introduce this to refresh my mind and to teach you on these issue as mentioned below า“ส€แด‡แด‡ ษชษดแด›แด‡ส€ษดแด‡แด› แด›ส€ษชแด„แด‹s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… แด›ส€ษชแด„แด‹ แด›แด‡แด„สœ แดœแด˜แด…แด€แด›แด‡s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… สœแด€แด„แด‹s แดแดแด… sแดา“แด›แดกแด€ส€แด‡ Subscribe htt…

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.