UKWELI KUHUSU AVIATOR PREDICTOR
JE, MCHEZO HUU WA AVIATOR UKO FAIR KWA PANDE ZOTE MBILI MWENYE BETTING SITE NA MTUMIAJI? Ukiingia kwenye mchezo wenyewe utaona maneno kuwa mchezo uko fair. Lakini katika ulimwengu halisi wa mchezo huu hakuna fairness hata kidogo. SIRI ZILIZOPO KATIKA MCHEZO AMBAZO NDIO MWIBA KWA WATUMIAJI: 1. Kila mtumiaji huwekwa kwenye chumba chake mwenyewe (Each user is treated individually). Ukiingia kwenye aviator utaona namba kubwa sana ya users jambo ambalo humfanya mtumiaji kujiona yeye ni miongoni mwa jamii pana. Kama unafikiri kuwa watumiaji huwekwa pamoja kwa kila mzunguko basi unajidanganya. Account ya mtumiaji inasimamiwa kivyake na ndio maana mtumiaji akishusha stake amount (kiasi cha kubetia) flight results go higher and higher. Ila akiongeza stake basi flight results go down immediately. So hakuna njia ya kuvuna pesa kwenye aviator hata uwe expert wa aina gani. 2. Aviator inaongozwa na AI (artificial intelligence) yaani akili bandia katika...

