✩░▒▓▆▅▃▂▁๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐ฉ๐ซ๐จ๐ ๐ซ๐๐ฆ๐ฆ๐ข๐ง๐ ▁▂▃▅▆▓▒░✩
**Introduction to programming: ep O1:**Nakukaribisha kwenye series Mpya ya mafunzo ya Tehama. Series hii itakwend akukupa hamasa kutoka katika uhaliasia kuhusu tehama.
Kutokuwa na kompyuta kuzikatishe ndoto zako kujifunza mambo ynayohusu Tehama.
Kama una simu janja inakuwezesha vyema tu kujifunza na kuitumia kwa ajili ya coding na production. Wapo watu nawafahamu humu kwenye grup wameanzia na simu kujifunza na kufanya project zao.
Kama unataka kujifunza coding zipo app za simu na za komoyuta. Kama unataka kujifunza kutengeneza Android App zipo app unaweza kutumia na sipo website pia.
So kila unachohitaji kukifanya kwenye tehama kwa namna mja ama nyingine kuna altenative yake kwa wasiokuwa na komopyuta. Hata linux kw autumia termux unaweza kufanya kazi.
**Mwisho: **
Tukutane somo lnalofuata tutakwenda kujifunza nukuu nyinginezo zinazohusu tehama.
**Tangazo:**
Fahamtumekuandalia mafunzo ya tehama kwa watumiaji wa simu na kompyuta. Download App yetu (***Golden Tech Tips***) ama tembelea website yetu yunohclassictz.blogspot.com .
**Contacts:**
WhatsApp: 0692725279
✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️