Notification texts go here. Buy Now!
Posts

NJIA AMBAZO ZINAZOWEZA KUKUONESHA KWAMBA WHATSAPP YAKO ISHADUKULIWA

NJIA ZINAZOWEZA KUKUONESHA KWAMBA WHATSAPP YAKO ISHADUKULIWA. 

Umekuta Ujumbe ambao hujausoma, teyari umeshasomwa. (Hili anaweza kufanya mtu wa kawaida tu) 

• Umekuta Ujumbe umetumwa, na unauhakika si wewe uliyetuma. (Hili anaweza kufanya mtu wa kawaida tu) 

• Umekuta namba mpya ambazo hujazihifadhi katika simu yako, zimehifadhiwa na kuunganishwa whatsapp. Labda hata zimetumiwa ujumbe flani. (Hili anaweza kufanya mtu wa kawaida tu) 

• Umekuta account yako imeunganishwa na Whatsap Web na huku iunganisha. (Hili anaweza kufanya mtu wa kawaida tu) Au ikiwa mtu atakutajia jumbe flani au mambo flani uliyofanya katika account yako pasipo kushika simu yako. 

Ukikuta mabadiliko kama hayo na mengine yoyote ya aina hiyo, ni wazi kuwa utakuwa umekuwa HACKED!

About the Author

In my third year in my bachelor degree in...... I decided to introduce this to refresh my mind and to teach you on these issue as mentioned below า“ส€แด‡แด‡ ษชษดแด›แด‡ส€ษดแด‡แด› แด›ส€ษชแด„แด‹s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… แด›ส€ษชแด„แด‹ แด›แด‡แด„สœ แดœแด˜แด…แด€แด›แด‡s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… สœแด€แด„แด‹s แดแดแด… sแดา“แด›แดกแด€ส€แด‡ Subscribe htt…

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.