Notification texts go here. Buy Now!
Posts

Jinsi ya kutengeneza files za UDP na Playload.


 ๐ŸŽ‰TENGENEZA SSH ACCOUNT ZA UDP

๐Ÿฆ Mfumo wa utengenezaji wa server za UDP kwa saiv umebadilika, so now kuna process mpya ambazo unatakiwa uzifuate ili uweze kupata host iliyo nyooka

๐Ÿฆ Website hizi zinakupa nafasi ya kutengeneza account za udp kisha utapewa server utaiweka pale kwenye 

-ip:port@user:pss-

๐Ÿฆ Ingia Kwenye moja kati ya hizo sites alafu tengeneza host baada ya hapo utapewa vitu hivi hapa chini 
-------------------------
๐Ÿค–Host / IP
๐Ÿค–Port
๐Ÿค–Username 
๐Ÿค–Password 
-------------------------
Muhimu
๐Ÿฆ IP-(Internet Protocol) ni server inaweza kuwa IP au Hostname, na pia kuna aina nyingi za IP address mfano 289.788.400.74 
๐Ÿ› Baada ya kupewa hivyo vitu apo juu fuata hizi steps apa chini ili kuunganisha hizo host ziwe kitu kimoja ambacho utaenda kupaste kwenye HTTPS CUSTOM 

Steps
๐ŸฆบCopy server(IP / HOST) uliyopewa - Paste Mahali
๐ŸฆบCopy Port (eg. 8888,80,443,8080)
๐ŸฆบCopy Username (@username) utaweka Jina Ulilosajilia
๐ŸฆบCopy ๐Ÿ”‘ Password (eg.93938h) - utaweka password uliyotumia kujisajili

๐ŸŒ€Baada Kumaliza kucopy na kupaste hivyo vitu, server yako inatakiwa iwe na muonekano huu

Server
www.fjkl.com:8085@YunohClassictz:893#$8

๐Ÿฆ Zifuatazo ni website chache ambazo unaweza kupata host zenye speed na za uhakika zaidi, chagua moja uishia nayo

Websites

๐ŸŒ€https://www.racevpn.com/
๐ŸŒ€https://www.greenssh.com/
๐ŸŒ€https://cyberssh.com/vpn/config
๐ŸŒ€https://www.vpnjantit.com/
๐ŸŒ€https://pisovpn.com
๐ŸŒ€https://www.lionssh.com/
๐ŸŒ€https://www.sshocean.com/
๐ŸŒ€https://www.vpnhack.com/
๐ŸŒ€https://www.dynamicssh.com/
๐ŸŒ€https://www.freevpn.us/
๐ŸŒ€https://www.sshocean.net/
๐ŸŒ€https://www.cloudssh.us/
๐ŸŒ€https://starssh.com/
๐ŸŒ€https://www.portssh.com/
๐ŸŒ€https://www.goodssh.com/
๐ŸŒ€https://sshkit.com/

✨Kuhusu njia za kuiweka kwenye HTTPS CUSTOM, kama huelewi basi click hiyo link apo chini ili kupata full maelekezo kwa uharaka zaidi๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ


About the Author

In my third year in my bachelor degree in...... I decided to introduce this to refresh my mind and to teach you on these issue as mentioned below า“ส€แด‡แด‡ ษชษดแด›แด‡ส€ษดแด‡แด› แด›ส€ษชแด„แด‹s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… แด›ส€ษชแด„แด‹ แด›แด‡แด„สœ แดœแด˜แด…แด€แด›แด‡s แด€ษดแด…ส€แดษชแด… สœแด€แด„แด‹s แดแดแด… sแดา“แด›แดกแด€ส€แด‡ Subscribe htt…

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.